carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji122][emoji122][emoji122]Mark Msue ni muhenga wa uzi
Hii ilikuwa post ya 4 ya huu uzi.
Priest hadi leo tunae.
Tunasima kwa pamoja tunampa makofi ya pongezi kwake[emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]suruali ya cole[emoji23][emoji23](nimekukomesha)
Ni kweli nimepata marafiki humu wengine kwa kweli tumejuana na wengine nafanya nao biashara kweli jf ni safi sana hasa Uzi huuMimi hata sikumbuki niliingia lini na ilikuaje,ila ninachoshukuru nimepata marafiki japo hatujuani and am happy here...mbarikiwe nyote mana nimekua ni mwenye furaha mara zote nikiwa humu...nawapenda nyote[emoji8][emoji8][emoji8]
Hata chumvi siyo kikwazoHatuwezi kuacha msosi kwa ukosefu wa pilipili.
Good oneNiliingia humu nilipoona kwa new posts ukisonga na nikiingia likes za post namba moja chache... nikailiza mbona views na namba ya post haiendani na watu kulike post namba moja kwanza eeeeeeh
Nafikiri ilikuwa kama posts elfu 20 na kitu au vipiii
( wenyeji zaidi mnikumbushe kama nimekosea namba ya posts ilikuwa wapi ha ha haa)
Nikaanza kusema hapo kuna kama pages fulani chache hata 50k ilikuwa kuleeeeee
Nakumbuka kusukuma gemu la 50k kihaswaaaaa...eti?
Nikajibiwa vizuri na kula like... nikaona na mimi nitoe eeeh tukaanza kuburudika na kuuita gemu ili kila mtu ajisikie ni gemu
Ndio maana hadi leo nashangaa wanaopenda kuposti na like hawatoi labda zile za kimoja kiwili kuifichia au sababu mtu kawa quote tu... ila hawajui hii gemu sivyo ilivyo
Wachoyo wengi wa like wamekimbia
Wengine wanakimbia na kurudi...
Sio mbaya ila gawa like hata kwa page nzima uliyomo au kwingine poa sepa zako shaaa
Hata rudi nyima mwaga kwa page unazotaka poa
Ni gemu la burudani hili... himu hatushindani nani kaandika vizuri au vibaya
Kuna upendo... ndio maana unakuta mtu anamuuliza mtu kitu unaweza kushangaa kajuaje kumbe humu humu wamejadili kabla.
Eeeeeh
Enjoy
Jaza ujazweeeee
Sambaza upendo wa like
MjiniWapi wewe
LikeNimemuona maana nilimpeza sana machoni
Ni mtoaji mzuri sana wa likes japo post zake ni chache humu...ubarikiwe Mark MsueMark Msue ni muhenga wa uzi
Hii ilikuwa post ya 4 ya huu uzi.
Priest hadi leo tunae.
Tunasima kwa pamoja tunampa makofi ya pongezi kwake[emoji122] [emoji122] [emoji122]
AMUN RANi kweli nimepata marafiki humu wengine kwa kweli tumejuana na wengine nafanya nao biashara kweli jf ni safi sana hasa Uzi huu
Pata likes kwanzaUnfair things happen, but you have come too far to let setbacks stop you from stepping forward. Leave it all behind you.
LikeHuo upako umechanganyika na upweke[emoji23][emoji23][emoji23]maadam umekuja anaweza changamka....habari ya kupotea lakin
DuhJembekilo jembetani
Mambo ya pesaRambirambi nachangisha mimi[emoji23][emoji23]
Yuko wapiNabii wa likes
YeahIndeed
Zunguka uwezavyo mama.Nikipata wasaa nitakuja kutembea