Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20170716-WA0055.jpg


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu.. SHIMBA YA BUYENZE alinitimu bungeni usiku wa saa 6 kwa kuuliza swali la nyongeza.
Mh. Ghazwat mbunge wa Kiembesamaki. Ukiacha kuuliza maswali kwa mihemko na jazba; ukaheshimu kanuni za bunge na mamlaka ya spika naweza kukuondolea adhabu yako. Itakubidi uahidi haya kwa maandishi...

Kwema lakini kamanda?
 
Kigumu chama cha makinikia! Wote tuitike KIGUMU
Nimeambiwa Kama sio kuona kwamba sasa LIKES zinekuwa dili kiasi cha kutengenezewa saco na kikoba[emoji23] [emoji23] [emoji23]! Kwamba hata mtu ukichangia pumba ama mashudu unachangiwa likes za kutosha[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbaya zaidi hili tsunami la likes limewakumba hata wakongwe! Kweli LIKES hazijawahi kumuacha mkongwe salama
Hovyo Sana
 
Back
Top Bottom