Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
NjemaKiongozi habari, jumapili ilikuwa ni poa tu
Post sent using JamiiForums mobile app
NjemaKiongozi habari, jumapili ilikuwa ni poa tu
Post sent using JamiiForums mobile app
TulivuJumapili njema kabisa
HahahahahahaKama God iz Bae kaonekana bila shaka hata Bigbaba naye alionekana. Safi sana!
KafufukaJonas Malheiro Savimbi
sent from my dell inspiron
VyemaNiko salama mkuu. Wikendi yako imeishaje?
Kwa watu wengine possibleUsiku mzima? Inawezekana kweli!?
Ni kichekoHata God iz bae amekuja Leo na amekukumbuka sana furaha kwa kichwa kichafu
22;5122:34
Post sent using JamiiForums mobile app
Like hiyooNi kweli kigogo wa Masaki. Jumapili yako imeendaje?
Swafi sanaHabari ndiyo hiyo
Post sent using JamiiForums mobile app
Shimba kuna mtu Rutashubanyuma jamaa yupo online 24 hrs now no break salute kwake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122]
TehHovyo Sana
KabisaMh. Ghazwat mbunge wa Kiembesamaki. Ukiacha kuuliza maswali kwa mihemko na jazba; ukaheshimu kanuni za bunge na mamlaka ya spika naweza kukuondolea adhabu yako. Itakubidi uahidi haya kwa maandishi...
Kwema lakini kamanda?
Kwa mbiliMia kwa mmoja