Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kwa wahenga hiyo haiwezekani tena. Mioyo haiwezi tena kasheshe ya kusukuma damu kwa kasi ya kutisha usiku mzima. Kuna hatari ya ku-RIP!Yeah why not
AdacabradrahSema Carba. Leo siku nzima sikuwemo humu. Nilizima na simu kabisa. Mungu ni mwema. Asante kwa kunikumbuka shemeji. You da best!!!
Bado uko macho? Lalaga nkoyi. Ntondo mamilimo!Kwema doho.... Hajambo, kalala naona..
Wickedness
Huku poa Leo hujaonekana kivile...Kwema humu wakuu? Jumapili yenu ilikuwaje? Tumshukuru Mungu!
Tip tip
Mchanga