Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Maneno matupu hayavunji mfupaTunapima faida ya kitu kutokana na matendo tunayoyafanya.
Maneno matupu hayavunji mfupaTunapima faida ya kitu kutokana na matendo tunayoyafanya.
Asante mtumishiKuwa makini ndugu Yesu anakupenda
Ati nini?Cole Williams ni ndugu yangu
Asante mtumishiKuwa makini ndugu Yesu anakupenda
Tanga kama kawa week hii una lala mlango wazi na huibiwi. Wale jamaa wana zunguuka kila mtaa kulindaHabari Tanga
Ukimchunguza kuku sana hutamla na mchagua nazi sana huishia kupata koromaHahahhaha acha kuchunguza sana
Mzee wa Masaki. Kwema?Wacha nigonge likes kwa nusu saa
Kutenda haki, huruma na kuamini yote umewezeshwa siyo jitihada zakoKama utaweza tu kuzidevelop na kuzitumia vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pengine anataka kuongeza mwingine mpaka wafike wanne....Mkuu Biblia ina sema usitamani mke wa jirani yako
Leo kajidamka namwona anatutupia likesbabe S
Mama chuna tule pesa zao[emoji6] [emoji6] [emoji6]
Apendaye chongo huliita kengezaMwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo.
Wasijivunie kwani kukongoroka ni sekundeWenye mwili....
NopeI am not thinking. It is an environmental crisis all over the world. Kama ni Afrika unafikiri akija mwekezaji hapo atakataliwa?
Hakuna kitu kama hicho. Lazima uwe umezaliwa Tanga mbona mimi karo haiishi ndio kwanza inaongezekaPamoja na hayo bado naangalia njia nyingine isiyohusisha pensheni yangu.
Post sent using JamiiForums mobile app
Nzuri kabisa kichwa kichafuHabari habari
Habari za asbh malkia wangu
In the houseNyuki
Team work