ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
kweli..Kama bado wako hai kwa siye ambao ni yatima tuendeleze mema waliyoyathamini ili kuwa enzi
mimi napenda mihogo na chaiKaribuni maziwa na keki
Pokea like kwanzaOooh, morning hun, nimefurahi kukuona! Za kurudi....maana si kuamka...
Kamat likes. Kigari chako kakichemshie mchemsho ukipe kifakamie...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba like kwa ajil ya wese,kigar changu kimekata hapa dah!![emoji594]
Nokia tochi
HahahahaUnapokuwa na maadui wengi kupindukia!![]()
The one and onlyISIS