Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 804
- 956
msisahau kunitaja huko pm...Nafurah dear njoo pm tutete mpenz
Tuna pages nyingi hatujafuatiliaWatu tuko tofauti sana. Aliyeiweka ni nani? Na kwa nini imeachwa kuwa hapo tangu jana? Mods hawaioni?
Tayari wameifuta hiyo postNahisi tungekua tunakumba page Mod wangeshaifuta aisee
Mungu ashukuliweTayari wameifuta hiyo post
hahaaaaa!!Jamani kuna picha iko getini lakini nimeitafuta sana huku siioni,iko chimbo gani?
Ni likes mkuu usikurupuke ku quote jaribu ku take time usome postKwahiyo kuona ile picha mnafaidi au sijakulewa/nikuelewa vibaya?
Itayafukuza yale mapepoSi nzuri hata kidogo.
Itaondoa upako wakoo
Bado inaonekana mubashara..Tayari wameifuta hiyo post
[emoji23] [emoji23]Itayafukuza yale mapepo
Hii kurupu kurupu sio nzuri kabisaKwahiyo kuona ile picha mnafaidi au sijakulewa/nikuelewa vibaya?