Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,591
- 17,561
Nimeuliza mkuuNi likes mkuu usikurupuke ku quote jaribu ku take time usome post
Atakuwa anazo nyingi ukiifuta anahamia nyingineWampe life ban kabisa mfyuuu zake
Post imekwisha futwa ila naona huko kwenye server bado ipoFuata ile page uwaambie
Niko bado na kichefuchefuassume upo kwenye daladala halafu unafungua jf then inatokea hiyo picha....
veery annoying...
sent from my dell inspiron
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila Uzi ukipanda juu lipicha linatokea dahHahaha mazee imenibdi ni scross up tena [emoji38][emoji38]
Hyo picha iko post # ngap ?? Daah [emoji38][emoji38]
Hata mimi ninaona sote hadhi imeshushwa kuwa na tumbiri kwenye jamii
Imeshakuwa deleted na aliyeiweka kaondolewa hata ukimtafuta humpati. Ajabu picha bado ipo!Jamani kuna picha iko getini lakini nimeitafuta sana huku siioni,iko chimbo gani?
Duhhe!!!!!
Utakuwa mgeni humu
Wako hai kweli
Lakini picha mbona bado ipo?Tayari wameifuta hiyo post
[emoji13][emoji13][emoji13]msisahau kunitaja huko pm...
sent from my dell inspiron
Ndo ivo banaMmmhhhhh
Ndani ya huu uziIko wapi?
18:23
18:23isingekua jua lishazama..kama ni Asbh kwa jina ya Mungu yeyote aliyetazama asinge pata rizki.