Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndugu Wana Chit-Chat,

Tumesikitishwa sana kwa utovu wa nidhamu ulioonyeshwa na baadhi ya wanachama kuchapisha picha zisizo na maadili.

Kwa sasa tumeshaziondoa. Tunaomba radhi kwa wale waliokwazika na tunawashukuru waliochukua hatua ya kuripoti suala hili kwetu.

Ni matarajio yetu kuwa tutaendelea kushirikiana katika kudhibiti tabia hii isiyofaa.

Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…