Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mwombee atoke bondeni ambako ni mfupa mkavu awe hai na atumike kwa bwanaNataka nimraani aliyeiweka mkuu
Aibu tele.Nimepata aibu kwenye gari leo kisa picha flani hivi inaonekana hapa. Nafungua jf naanza kuangalia kinachoendelea lahaulaa
Tunaanzisha mwingine wa aina hii hii!Uzi ukila ban sijui itakuwaje
Asante Mkuu.Si akaipekue tu? Au ndiyo kiki zenyewe anazisaka humu?
Karibu tule like sasaNdugu Wana Chit-Chat,
Tumesikitishwa sana kwa utovu wa nidhamu ulioonyeshwa na baadhi ya wanachama kuchapisha picha zisizo na maadili.
Kwa sasa tumeshaziondoa. Tunaomba radhi kwa wale waliokwazika na tunawashukuru waliochukua hatua ya kuripoti suala hili kwetu.
Ni matarajio yetu kuwa tutaendelea kushirikiana katika kudhibiti tabia hii isiyofaa.
Asante.
Ni mods tu ila nimebandika picha nyingi ili isogee hapo mbeleHii picha ukifungua tu sehemu ya uzi huu unaiona iko juu.Jaman mwenye kuweza kuitoa aitoe wakuu inachefua sana
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hiyo nyekundu ni nini? Pilipili ama?