KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
Well said mkuu. Tuko wengi humu na wa aina mbalimbali. Ni muhimu pia mods wawe aggressive zaidi kwa sababu picha hii ipo tangia jana na watu wameripoti mpaka wamechoka!
Achana nayeNo!!..hapana asee usitizame kabisa.
UpoNimewaelewa lakini msiondoke bila ya kutoa like.
SijuiMod mbona hawataki kuitoa?
Wamekwisha itoa.Sasa hiyo picha wanayosema wameitoa ni ipi au zipo mbili....maana kuna moja ipo getini mpaka inatia kinyaa...!!
Yupo analisongesha bado. Tangu jana!Rutashubanyuma bado unagonga likes
Hahahahahaha
18:40yaani utaonekana huna maana hata kidogo...
sent from my dell inspiron
Utabadilika tuHaaha display ya huu uzi ina Fanya huu Uzi kuwa mbovu
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Open communication muhimu kwenye mahusiano ati!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona umerudi tena upya