Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi na wewe tuna heshimiana sana mkuu,haujawahi kulitikisa zizi langu hata kwa bahati mbaya
Nafuata makubaliano yetu,
Kosa lako kubwa kwangu ni ile hali ya kuegemea kwa Uniq,
Kichwa kichafu alikaribia kumega kwenye zizi lako nikamshauri usiku kucha mwisho akanielewa akaacha ingawa sina uhakika sana kama hakuwahi kufanya hivyo japo mara moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushukuru sana,toka aniharibie mara ya kwanza hajarudi tena.Hofu yangu ni vile anabadilika badilika sana,juzi alikuwa ni mtu wa gospo, sijui ilikuwa bahati mbaya au ni kusudi la Mungu!!!
 
*Dawa ya kupuliza Mbu ni shilingi Elfu8 hadi Elfu kumi wakati Dawa ya Malaria ni _shilingi Elfu 1,500/= hadi Elfu 3,000/=,_*
*Sasa si bora tusubirie kupata Malaria tu ili tununue Dawa kwa bei nafuu Tu..*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…