Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jana nilijaribu kujikaza kuogopa kuonekana mkorofi nikashindwa ikabidi tu niseme ukweli. Upo sahihi
Wachache tulimuelewa ukhuty,hadi alivyo tokea kisu cha ngariba ndipo lugha yake ikabadilika.Watu wanaogopa kuanzisha urafiki humu,yapo mengi ya kujadili mbona!! Kuna kundi hapa lenyewe ni kujadili mambo yetu yaleee(achaneni nalo,maana nalo ni burudani tosha),kuna mambo ya vipeperushi na mipicha picha(ahsante Numbisa,ISIS,Shimba,mshana Jr,Rais2020,na wengine),kuna misemo na nahau (cocochanel),kuna kufuatilia data(mzee wa liver,shimba),kuna waharibifu (ho chi Minh na kichwa kichafu),kuna wafukunyuku (carba na timu yake), na wengine weengi sana...Kweli tuna shindwa kurafikiana jamani!!!? Ku quote sana ni dalili za upweke.Tuwe huru japo hatufahamiani,tupo hapa kwa kusudio la kujijenga kiafya.Samahani kama nitakuwa mimi ni mmoja wa kikwazo ndugu zangu.Ahsante Numbisa kwa kuwa muwazi muda wote
 
Wewe sio kikwazo kwangu!
Well said!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hata ukiweka nukta utakwotiwa tu!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…