Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Likes like likesKwaherufi kubwa pia teh! teh!
Kwa sasa Nsamaka yupo kwa nani?We kikwazo kwangu
LikedPOSITIVE MIND VIBE QUOTES
[emoji617]Kukosa msimamo na maisha yako ni kuacha maisha yako kuwa ya kuridhisha kila mmoja. Maisha ya utumwa ndipo yanapoanzia na hii tabia huwa inafanya watu kuwa watumwa kwa watu wengine bila hata kujua. Kumridhisha mtu unatumia akili na nguvu kwasababu ni lazima ufanye kitu ambacho kinaendana na tabia ya kila mtu, sasa kitakachofanyika ni kwamba muda unakuja kujitambua kwamba unatakiwa kujiridhisha mwenyewe unakuta kwamba umeshajenga tabia ambayo inakuwia vigumu wewe kujitambua na kuanza kufanya mambo yako.
[emoji617]Ajira sio mbaya ila ubaya unaokuja ni kwamba kutafuta ajira kumevunja Akili za sisi vijana kuwaza kwamba tunaweza kuungana na kufanya jambo flani, ni wachache sana ambao wegundua hilo na kuweza kujumuika pamoja bila kusubiri ajira. Akili zikiwa zimelenga kuhusu kufanya kazi za watu kunaasilimia ndogo sana kuwaza kuhusu kufanya mambo yetu.
[emoji617]Kukosa busara ni kupinga kitu ambacho hujui kusudi la mwanzilishi wa hicho kitu, yani mawazo yako unaona ni sahihi kama mwanzilishi au ndiye mtendaji wa hilo swala. Uliza kwanza kusudi la jambo flani ndipo upinge au ukubaliane kama hujaelewa kinachofanyika.
[emoji617]Dalili za umasikini zinaonekana kwenye hayaonekani lakini yakizidi kwa matendo huonekana mfano ;
-Wivu
-Masengeny'o
-Uchoyo
-Tamaa
-Chuki n.k
Mafanikio ni kanuni wala hauwezi kusema kitu flani ambacho ni kibaya kinaubaya kidogo, ubaya ni ubaya hata kama uipande na ukweli utajitenga. Mafanikio ni kweli.
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Anaendelea vizuri,tatizo dadaako anaipenda ajira kuliko mimi.Likizo ya ugonjwa aliyo pewa ilikuwa bado siku nne ziishe, ameamua kwenda kuzimalizia kazini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sema shemeji. Hata ma-great thinkers huwa wanapita pita huku. Dada anaendeleaje na Malaria yake?
Yes[emoji124] [emoji124] [emoji124] anajibu maombi...anajibu maombi...[emoji94] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji442]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]nakusemea[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mbona umevaa nguo[emoji23] [emoji23]
Ni kweli aiseeTatizo wenye akili hua hawataki kuzaa sana!!
Shem umeona na hiyo wakati nilisema nikiwa nimejificha[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji144]Ukivua miwani kwenye avatar bila kubadili avatar nitasema kwa sauti kubwaaaaaaaa
atakaye sikia na asikie*POSITIVE MIND VIBE QUOTES*.
[emoji617]Usiogope changamoto lakini changa akili yako changamoto zikuogope.
[emoji617]Uzuri wa kuni hauko nj'e ya kuni mbali ni ndani ya kuni yenyewe.
[emoji617]Uzuri wa mtu haupimwi na aina ya mavazi au aina ya maisha anayoishi bali uzuri wa mtu unapimwa kwa kufanya mambo ambayo wengi wanaojiona wazuri hawawezi kuyafanya. Kiufupi uzuri wa mtu uko ndani ya tabia ambayo wengi huwa hawana uvumulivu wa kuistahimili kuifanyia kazi.
[emoji617]Uzuri wa ndoa haupimwi kwa uzuri wa harusi ilivyo bali ni kwa njisi bibi na bwana harusi walivyo ndani yao.
[emoji617]Uzuri wa mafanikio haupimwi kwa mangapi umejifanyia wewe mwenyewe ila unapimwa kwa mangapi umefanyia wengine ambao hawana uwezo wa kujifanyia hata chembe ya wewe uliyethubutu kuwafanyia kitu wao.
[emoji617]Uzuri wa heshima haupimwi kwa shikamo ila unapimwa namna ulivyoweza kutumia hekima yako kwa watu wengine.
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
mzee wa liver wapi?Gr8 kwa kweli
Amen!*GOOD NIGHT[emoji281][emoji283][emoji279][emoji42]*
*[emoji42][emoji47]WAKE UP CALL[emoji337][emoji338]*
Kumbukumbu nzuri kwa watu kuhusu maisha yako na maisha ya wengine hautaitengeneza kwa kununua magari mazuri, kujenga nyumba nzuri, kutoa watu out kila weekend ila utaitengeneza kwa kuwasaidia kuwaachia kitu flani katika akili zao. Gari linaweza kuharibika wakakusahau, nyumba inaweza kuharibika au hata kubomoka wakakusahau, kuwatoa out wanaweza kusahau, kuwapa hela zitaisha na hawatakukumbuka. Wape maarifa na waoneshe upendo hivi vitakaa katika AKILI NA MIOYO yao, kifupi gusa maisha yao katika hivi vitu.
Hawatakusahau mpaka Mungu awachukue licha ya hivyo lazima watawahadithia na watoto wao na watoto wao watawahadithia watoto wao na vizazi kwa vizazi.
UKITENDEA WATU WEMA WEMA WAKO UTAKUWA FASIHI SIMULIZI KWA KILA MMOJA HATA KATIKA VIZAZI VYAO.
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
LikedNipo Minister Farrakhan. Mwaga busara mkuu.
Hahahaha kwa kweli ni kweliTatizo wenye akili hua hawataki kuzaa sana!!
Pokea likeLikes hunter
Liked[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]mnanionea ujue[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]