Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Liked effortIndeed
Yeah!Hahahahaaaaa carba hafai .....
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Niwe kwenye timu yako[emoji15] [emoji15] [emoji15] !!!? Hapana siwezi,wewe hata amri ya nani sijiungi kwako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeshindikana kabisaaaa
Aaaaaa kichwa,wewe ndugu yangu sana ujue...hebu tuyamalize aisee!!! Yasihusiane na zizi langu tafadhali[emoji378] [emoji378] [emoji378] [emoji379] [emoji379]We kikwazo kwangu
Pokea likeOhooooo....mimi mwenyewe nilifikiri ninahiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
YamemkutaMfuata nyuki hula asali lakini kulikoni
Hahahaha kila mmoja umemuweka kwenye mabano ila mbona wewe hujajiweka kwenye kundi lolote? Wala hujawahi mkwaza mtu humu zaidi ya mtani wako uniq.Wachache tulimuelewa ukhuty,hadi alivyo tokea kisu cha ngariba ndipo lugha yake ikabadilika.Watu wanaogopa kuanzisha urafiki humu,yapo mengi ya kujadili mbona!! Kuna kundi hapa lenyewe ni kujadili mambo yetu yaleee(achaneni nalo,maana nalo ni burudani tosha),kuna mambo ya vipeperushi na mipicha picha(ahsante Numbisa,ISIS,Shimba,mshana Jr,Rais2020,na wengine),kuna misemo na nahau (cocochanel),kuna kufuatilia data(mzee wa liver,shimba),kuna waharibifu (ho chi Minh na kichwa kichafu),kuna wafukunyuku (carba na timu yake), na wengine weengi sana...Kweli tuna shindwa kurafikiana jamani!!!? Ku quote sana ni dalili za upweke.Tuwe huru japo hatufahamiani,tupo hapa kwa kusudio la kujijenga kiafya.Samahani kama nitakuwa mimi ni mmoja wa kikwazo ndugu zangu.Ahsante Numbisa kwa kuwa muwazi muda wote
LikedHahahaha
Like likes uMpela mpela
ho chi minh angalia huyu jamaa ananitishia amani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukini quote naku quotua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AfternoonGood afternoon
Mambo yote yapo humoNi taswira ya shetani soma vizuri Biblia Takatifu
Ni shemeji yangu. Siwezi kufanya hivyo!Muite mzee wa masamaki
164k163k
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Like hiyooNaendelea
[emoji617]Hauwezi kujenga nidhamu ya mafanikio katika maisha yako kabla haujajenga nidhamu ya kujikana katika mambo ya makundi yasiyokuwa na umuhimu.
[emoji617]Wengi huwa tunasema tunakula ujana ila swali ni ujana gani ambao tunauzungumzia? Kula ujana kwa manufaa ya ujana ulivyoufanyia kazi na usile ujana kwa kuhofu kesho hautakuwepo.Hii hofu ni dalili mojawapo ya mtu kutokufanikiwa katika maisha yake kwasababu hakuna malengo ambayo unaweza kujiwekea.
*Kesho Umeijuaje wewe na useme maisha mafupi ikiwa unamatumizi mabovu katika kila hela unayopata??*. Unasema maisha mafupi na Mungu anakupa miaka 100 au zaidi ya kuishi utasemaje na kauli yako ya kula ujana na hukujiwekea malengo yoyote.
[emoji617]Wengi tunamalengo mengi ndomaana kufika tunapotaka inakuwa ni shida, najua utakuwa umeshangaa, twende pamoja, unatakiwa kuwa na LENGO lenye malengo madogo madogo ndani yake. Lengo lenye malengo ni kisababishi cha wewe kupata kitu unachokitaka katika maisha yako na sio unakuwa na Malengo mengi ambayo hayako katika utaratibu leo unafanya hivi kesho hichi ni ngumu kufanikiwa katika hayo malengo yote.
*Kipaumbele chako ni kipi?*.
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Pokea like kwanzaWe kikwazo kwangu
Shem we katibia huku si unapakumbuka vizuri nyumbani na funguo tunapoficha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shem nilikukaribisha nyumbani ukakataa[emoji23][emoji23][emoji23]sijui unaogopa nini
Doooh[emoji15][emoji15][emoji15]We una siku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Like attracts more of the likeUnajifanya umesahau eeh[emoji23][emoji23][emoji23]kumbuka basi