Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha kila mmoja umemuweka kwenye mabano ila mbona wewe hujajiweka kwenye kundi lolote? Wala hujawahi mkwaza mtu humu zaidi ya mtani wako uniq.
Kusema ule ukweli nilipoingia JF sikuwah mfaham mtu yoyote humu wala kuogopa kuchangia popote kisa upweke. Kila mjadala nilijiweka huru ili mradi nami ni member wa JF.
Mkuu mimi nipo kwenye kundi hilo hapo[emoji115],ukiliona utaniambia.Ubarikiwe sana dadaangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_2567.JPG
 
Back
Top Bottom