Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20170718-WA0015.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rutashubanyuma samahani sana ila naomba nikwambie kitu,simaanishi niko sahihi sana au wewe uko sahihi sana ila tabia yako ya ku quote na kuandika liked au muda uliotoa likes unanikwaza na si mimi peke yangu ni wengi humu..hili ni jukwaa na kila mtu anapost anachoona kinampendeza lakini hatuna malengo ya kukwaza ama kukwazwa...watu wamelalamika lakini unajifanya husikii wala huoni hii ni dharau jaribu kuwa mstaarabu watu wanakwazika wengine wanashindwa kusema...lengo la uzi ni kutoa likes na kupata likes na si ku quote,kama una mquote mtu usimkwaze wengi tuna quote watu humu kwa lengo la kupiga stori ila unachokifanya wewe ni kutukwaza...tafadhali naomba usi quote post zangu japo bundle ni lako na huchaguliwi cha kupost...
Maamuzi ya mtu yaheshimiwe.Pole mama.Jamani tusishupaze shingo kiasi hiki,hebu tuache ili kila mtu awe na amani anapokuwa hapa.Unaye mkwaza ndiye anaye kupa like na kukuongezea posts(hata sijui kama zina faida sawa sawa na furaha ya mtu).
 
Kuna kamtaa mwizi alikamatwa alisutwa kwa maneno hadi akafa bila kumpiga[emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi nataka carba asutwe hadi amsahau Cole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom