Mkuu mimi nipo kwenye kundi hilo hapo[emoji115],ukiliona utaniambia.Ubarikiwe sana dadaanguHahahaha kila mmoja umemuweka kwenye mabano ila mbona wewe hujajiweka kwenye kundi lolote? Wala hujawahi mkwaza mtu humu zaidi ya mtani wako uniq.
Kusema ule ukweli nilipoingia JF sikuwah mfaham mtu yoyote humu wala kuogopa kuchangia popote kisa upweke. Kila mjadala nilijiweka huru ili mradi nami ni member wa JF.
Naona una hamu ya kukwotuliwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ho chi minh angalia huyu jamaa ananitishia amani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
yah!! separate good from evil..SEPARATE GOOD FROM EVIL FOREVER
Haha nitakwambia. AmenMkuu mimi nipo kwenye kundi hilo hapo[emoji115],ukiliona utaniambia.Ubarikiwe sana dadaangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupyah!! separate good from evil..
hamu ni raha
sent from my dell inspiron
Si kweli!
HahahahaNaona una hamu ya kukwotuliwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]