Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mtupie like atatuelewawapi pamekushinda kuelewa tueleze mkuu
Ndiyo hivyo tena itabidi tuwe wapole tu maana hakuna namna.Nataman kuona quotes za maana kama za zaman sio za sasa za neno LIKED or muda husika
Njema tuu Rutta. Nimemiss sana mashairi yako. Hebu andika japo Moja uwaite wakongwe wote humo?Kwanini lakini.
Za masiku
Teh teh tehJakitoo kafundwa,hapo ujue anamsubiria mkoromijeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siyo kutoa likes. Ndiyo maana sioni ukilikeAisee Mimi natumia huu Uzi kupata likes
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hata ukiweka nukta utakwotiwa tu!
Kichwa Kichafu muungwana sana haachi mtu bila kulike post yake lakini wengi humu likes zina machoNi kichwa kichafu alikuwa anamuulizia ISIS kila mara lakini baada ya kumshitaki kwako kaacha.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahaa hahaaaaa balaaaMKUU RUTA.. USI'QUOTE KILA POST TAFADHALI. ZINAWAPA SHIDA WATU KWENYE SIMU
KumbeMatajiri nao hupenda kunufaika kwa shida za masikini. Ukiwa na shida ya umeme utamuona kalasinga ananyatia mradi furani na account yako ili anufaike
Sent using Jamii Forums mobile app
Itaisha tuKesi hiyo..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tulia ukwotiwe Mzee wa Masaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chukua chuma kingine like yangu haibagui mtu sipekui content hata siku moja
Ehe!Hahaa haha
We Mzee ww [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukini quote naku quotua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu huku bwanaaa miee naendeleaaaa ....na biashara yangu ya kuuzaaa kahawa kwenye bilika,Mkuu kilimo cha matikiti kibiti huku kimenikamata kweli kweli
Pokea mchuma wa likeMYOYAMBENDI
Mlike huyooodah! afadhali kidogo