Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kipimo ni uwezo wa kuzikabiiShida hapana zisiyemkumba.
Kibiti tena?Nikivuna matikiti nitakaribia sheikh huko ikwiriri.
Nitakuletea na matikiti maana nikikukaribisha sasa hivi huku kibiti utauz shamba langu na matikiti yakiwa shamba kama kipindi kile ulivyojifanya dalali ukauza mashamba ya watu kijijini hapa.
Mkuu naona umeamua kujilipua,liwalo na liwe,kosa mimi kosa wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Salamu fupi kama mkia wa mbuzi hizo hapa
Jakitoo na Cole Williams wanagonga likes post hawawekijakitoo mbona naon likes tu hebu post tugonge LIKES
Nini tena?Ohoooooooo
Mitazamo ni mizania yakeShida huzidiana
CleverKING hizi busara zako zinavunja mbavu za watuNimepanda taxi leo,dereva taxi akaanza kuongea..."Naipenda sana kazi yangu nimejiajiri hakuna wa kunipangia nini cha kufanya"
Nikamwambia "KATA KUSHOTO"
Hahahahahawa wapitaji nao wagonge likes..
sio kuposti na kukimbia ukasubiri 'likes kichochoroni
HahahahahahaNi kichwa kichafu alikuwa anamuulizia ISIS kila mara lakini baada ya kumshitaki kwako kaacha.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Usipoziba ufa utajenga ukutaShida ni kama watoto; unavyozidi kuzilea ndivyo zizidipo kukua.
Nzuri ho chi Minh
Kama unajiamini una uwezo kuzitatuaShida ni mama wa uvumbuzi.
HahahahaNi kichwa kichafu alikuwa anamuulizia ISIS kila mara lakini baada ya kumshitaki kwako kaacha.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Ikoje?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kama anazitatua au ni mbumbumbuShida za shamba azijua mkulima.
Na UKUTA ulishapigwa marufuku.Usipoziba ufa utajenga ukuta
Mkuu yaani acha kabisa! Ikiwa tulinyanyasa hadi ndoo tukachukua. Sipati picha kwa sasa ambapo unaziba mapungufu. Bwihi [emoji16] [emoji16]Mkuu naona mnatishia amani ila tar 12 si mbali mtakuwa kimya
Litengenezee fremu kisha uliweke sebuleni.