Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hicho kitu kina nishangaza kwa kweliJakitoo na Cole Williams wanagonga likes post hawaweki
Hicho kitu kina nishangaza kwa kweliJakitoo na Cole Williams wanagonga likes post hawaweki
Hahahahahaha mzee wa busara wa juma natureMzee wa busara kulikoni umechunwa pesa ya uzeeni hasira zote kwangu
Siku uendayo uchi utakutana na mkweoSiku unayojipaka mafuta hukutani na mkweo.
Hii ninaijuaSiku utakayokwenda uch*, ndiyo siku utakayokutana na mkweo.
Gr8 kwa kweli
Matarajio ndiyo mizaniaSiku za upungufu ni nyingi kuliko za wingi.
Humu ni full maupendo na wala hakuna shetani sisi wote ni Mwenye Enzi MunguKuna watu humu ni kupokea likes lakini shetani wanayemsujudia anawaxuia wasitoe likes
Pokea like
9118222
Tupe storiMkuu huku bwanaaa miee naendeleaaaa ....na biashara yangu ya kuuzaaa kahawa kwenye bilika,
Ina faida nzuri endapo unakuwa na maneno mengi, unazungumza vitu vingi,
Uwe unajua vitu hata ambavyo huvijui!
Mbona biashara utafanya sana.
Karibu Ikwiriri sheikh.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mkuu simu yako aina notification niniSiyo kutoa likes. Ndiyo maana sioni ukilike
Demoniac possessionWe Mzee ww [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]