Salama kiongozi,habari ya majukumumambo Mkuu?
Mchuma huooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ehe!Hahaa hahaaaaa balaaa
Sinema ni jumba la kuonyeshea filamuNikumbushen sinema inayotrend sasa hapa Tanzania
Sijasoma nina post kama 200 mbele za ku like sijakula msosi wa jioni sijaangalia game of thrones na power season 4 sijaongea na mpenzi wangu carbamazepine, kwa kweli nitaisoma kesho SawaNaendelea
[emoji617]Hauwezi kujenga nidhamu ya mafanikio katika maisha yako kabla haujajenga nidhamu ya kujikana katika mambo ya makundi yasiyokuwa na umuhimu.
[emoji617]Wengi huwa tunasema tunakula ujana ila swali ni ujana gani ambao tunauzungumzia? Kula ujana kwa manufaa ya ujana ulivyoufanyia kazi na usile ujana kwa kuhofu kesho hautakuwepo.Hii hofu ni dalili mojawapo ya mtu kutokufanikiwa katika maisha yake kwasababu hakuna malengo ambayo unaweza kujiwekea.
*Kesho Umeijuaje wewe na useme maisha mafupi ikiwa unamatumizi mabovu katika kila hela unayopata??*. Unasema maisha mafupi na Mungu anakupa miaka 100 au zaidi ya kuishi utasemaje na kauli yako ya kula ujana na hukujiwekea malengo yoyote.
[emoji617]Wengi tunamalengo mengi ndomaana kufika tunapotaka inakuwa ni shida, najua utakuwa umeshangaa, twende pamoja, unatakiwa kuwa na LENGO lenye malengo madogo madogo ndani yake. Lengo lenye malengo ni kisababishi cha wewe kupata kitu unachokitaka katika maisha yako na sio unakuwa na Malengo mengi ambayo hayako katika utaratibu leo unafanya hivi kesho hichi ni ngumu kufanikiwa katika hayo malengo yote.
*Kipaumbele chako ni kipi?*.
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Well said my dearestHumu ni full maupendo na wala hakuna shetani sisi wote ni Mwenye Enzi Mungu
Well said my dearestHumu ni full maupendo na wala hakuna shetani sisi wote ni Mwenye Enzi Mungu
Likes hunipi lawama kibao app yangu ndivyo ilivyo no quote no likeMKUU RUTA.. USI'QUOTE KILA POST TAFADHALI. ZINAWAPA SHIDA WATU KWENYE SIMU
Bro nakusalimu huko huko chimboBusara hizo shemeji. Well said ndugu. Tupendane, tuvumiliane lakini pia tuwe wasikivu. Mwenzako akisema kuwa jambo fulani linamkwaza, si vibaya ukimsikiliza badala ya kujifanya wewe ndiyo unajua kila kitu. Mikwaruzano ya hapa na pale itakuwepo lakini tukiwa wakweli na kukanyana kwa staha, uzi huu utaendelea kuwa stress free na utaendelea kuwa kimbilio la wengi. Na lengo kuu bado ni lile lile: TOA LIKES POKEA LIKES.
Hicho kitu kina nishangaza kwa kweli