RAGNAR LOTH
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 698
- 1,613
[emoji8]
Pokea upendo. Ninajua sababu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pokea upendo. Ninajua sababu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KweliView attachment 545287 Raha jipe mwenyewe.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Japan Airport wameweka kioo kubwa ukisimama mbele yake inataja jina lako na nchi unayo elekea.
Mpemba mmoja alisimama mbele ya kioo akaambiwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.
Awadhi alishangaa na kioo na akataka kuhakikisha kuwa ni kweli. Akaenda kuvua koti akavaa kanzu, kofia na miwani. Akarudi tena mbele ya kioo na akaambiwa tena kuwa jina lake ni Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yake yaelekea Zanzibar.
Awadhi akaenda tena kuvua kanzu zawadi alizokuwa amemnunulia mkewe. Akavaa night dress, akatia rangi ya mdomo na akatafuna ubani na kulegeze mwili. Akarudi tena kwenye hicho kioo na akaambiwa
"Jina lako Awadhi Mkufu Mbaruku na ndege yako ishakuacha kwa ukhanithi wako!"
LikedAsante shemeji...[emoji23][emoji23][emoji23]
Pokea hiyoooMkuu kwani efforts zako za kuingia mtandaoni na kusaka life kuna uhusiano. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pokea likes karibu jamvini mkuu
Yaani mi mpaka nikasirike sijui ufanyeje labda umzingue baby wangu Ti[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji22]Niaje mdogo wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona una hamu ya ku quotuliwa eee
Snake and serpent is one and the same,cut the Satan part as myth is in me.Snakes are image of the serpent aka Satan
Nimegundua avatar yako ina picha ya polisiKwema mkuu.. Niaje hapo jamvini?
KabisaPenye ukweli uongo husambaratika
Baadhi ya watu hudhani life ni mipesa kumbe life ni kutosheka hata uwe bill gates kama hujatosheka wewe ni lofa tena wa kutupaMkuu kwani efforts zako za kuingia mtandaoni na kusaka life kuna uhusiano. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pokea likes karibu jamvini mkuu