ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
AMUN RAWe
Wont
Fail
AMUN RAWe
Wont
Fail
Nikikusifia ujue you are worthy it sipendelei au kuoneaNimekutulia Mkuu usiwe na hofu. wengine wakakuja kukujazilia.
Kama walikutana mbinguni ni wafu hao au hai milele ,?Loooooooooh! kali ya wiki, Mke alikufa, akakutana na mumewe mbinguni, akamwambia; 'Mume wangu bora tumekutana tuendeleze mapenzi yetu,
Mume akajibu: " Weee! Weee! Ishia hapohapo, tuliapa KIFO ndicho kitakacho tutenganisha, huku mbinguni nipo single, kuna Malaika namfukuzia usije ukaniharibia bure"
Atakuwa amesahau kuwa anaumwa mguu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] eee Mungu niongezee miaka 100 mingine ya uhai niendelee kufaidi kwa macho uumbaji wako