carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
MmmhhWanaume eeeeeeh
MmmhhWanaume eeeeeeh
Kizimbuzi ndiye alitenda dhambi kunitag tar 16 siku ya kwanza wa uzi .
Hadi leo nimeng'ang'ania humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Nimetuma barua ya maombi ya ajira ya jeshi huko.Nadhani ipo mezani kwa PK inajadiliwa saa hizi...Nice
Safi kabisa. Tupo pamojaPoa kabisa Mkuu namshukuru Muumba wetu. Jioni iko bomba sana.
Daaah bora nilitaka nikufuate hukoMmmhh
Usiwe mbali hivo love si unajua mimi bila ww siwezi kuwa mwenyewe [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji178] [emoji179]Mmmhh
What's going on here? Mbona siwaelewi elewi?Ujisikitikie
Humu watu hawalilii like kama wewe wala wengi hawahesabu
Bali ni burudani do u get me woman!!!
Hakuna aliyewahi kuleta screenshot za kuangalia like za watu ... wengi humu wameingia na like kwendana na posts zao au zaidu... wengine ndio hata 5% hawakuwa nazo ila wamekuja wanaburudika bila kujisukuma kylazimisha
Quotes sikuanza leo kurusha. Usijilazimishe kuwa kama vipi upo chini ya wengi kwenye status ya uzi huuu
Mtu kubishana na wanawake ni kukosa mengi maishani
.unapitwa unakazana eeeeeh kutaduta maneno
Kweli kuzaliwa miaka ya 90 sijui ya 2000s wengine ni kazi kweli kweli
HahahahaAtakuwa amesahau kuwa anaumwa mguu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] eee Mungu niongezee miaka 100 mingine ya uhai niendelee kufaidi kwa macho uumbaji wako
BAK kwa usajili upi,? Sanches mbioni Mancity mpone kweli na mtakapoanza Europa majeruhi yatawamalizaKombe Mkuu linatua Emirates msimu huu, mbona itakuwa shidah! patashika nguo kuchanika si ajabu hata Queen anaweza kutangaza sikukuu ya Kitaifa kwa Gunners kutwaa ubingwa maana hatujachukua tangu mwaka 47!
Ni mbarikiwaKICHWA KICHAFU