Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hahhahaha pumzika kaka nimeingia now hapa post zinatetemeka zinaogopa kichapo cha likes
Ujinga TuWenyewe wanaita eti alternative lifestyle. Japo ni haki yao kuishi wanavyotaka, kinachokera ni hii kampeni yao kuhalalisha hiyo alternative lifestyle yao dunuani kote. Na watu mashuhuri ndo wanatumiwa sana kwa sababu wao ni role models kwa watu wengi hasa matinejaz na watoto. Ni kasheshe!
Yani leo kale kamoyo kangu umekavunja sitaki kuamini[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] sikuwai kuamini kama mapenz yanaweza nitoa machozi daaah [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kabisa mkuu tuliokuwa online muda ule tulikuwa na wakati mgumu sanaHakuna hata haja ya kuyafukunyua. Nothing to gain there except negativity...
COLE what a lovely avatar pokea like kwanzaHivi unaweza tukana
Kama vile kweli?????
That's my bro hayana IshuHakuna hata haja ya kuyafukunyua. Nothing to gain there except negativity...
Bro, jikaze. Mijibaba midowezi ya hapa hata ukilia haisaidii kitu. Pambana bro. Kama ni kulia lia kwa siri ukiwa na shemeji faragha![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] sikuwai kuamini kama mapenz yanaweza nitoa machozi daaah [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
HahahahahahNoah za makinikia hahahaha ni ndoto za mchana
Wenyewe wanaita eti alternative lifestyle. Japo ni haki yao kuishi wanavyotaka, kinachokera ni hii kampeni yao kuhalalisha hiyo alternative lifestyle yao dunuani kote. Na watu mashuhuri ndo wanatumiwa sana kwa sababu wao ni role models kwa watu wengi hasa matinejaz na watoto. Ni kasheshe!
Pokea like kwa kutambua avata ya Cole WilliamsCOLE what a lovely avatar pokea like kwanza
Nakuamini mamaNakuja usijali
Leo nataka niku suprise kabisa nitakupeleka sehem nyingine ukiachana na pale tuka.........
Daaah nafanya hayaCOLE what a lovely avatar pokea like kwanza