Na leo umechelewa utabaki mwenyeweleo nakesha.
Hahahah. Mbona hiyo ndio michezo yetu kule upareniHapana shemeji. Wazungu hawa wana mambo ya ajabu sana. Hapo akienda kujibamiza kwenye miamba huko utaona helikopita hata tatu na waokoaji kibao zinakwenda kumtafuta. Sisi ukifanya ujinga huu unalo...
Mna-sky dive wapi?Hahahah. Mbona hiyo ndio michezo yetu kule upareni
Mkamia maji hayanywi!leo nakesha.
Njooni mchukueMna-sky dive wapi?
Tena umenikumbusha. Ng'ombe za mahari umeshaandaa?