Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Nous
Hahahaha.....Hahahahahah lol! Subiri ianze kukamata vingine hapo ndiyo utajuta kumfahamu Kichwa Kichafu lol! babe
S
We keep this love in this photographLoving can heal
Loving can mend your soul
And it's the only thing that I know (know)
I swear it will get easier
Remember that with every piece of ya
And it's the only thing we take with us when we die. Njoo huku zepine
Tunakupenda pia...Nawapenda wote
Ama kweli mwenye shibe. ...tumpe tu likesHaya chukua hiyo nyingine.
Yeah, yeah, ahsante kwa kutambua uwepo wangu.... Nakutunuku umakamu.. Rasmi Kichwa KichafuHeshima yako mwenyekiti
Yap Jomo Kenyatta ,Daniel Arap Moi ,Mwai Kibaki, Uhuru Kenyatta akiwa dogolasi
Hawa jamaa nimewashtukia kitambo, wanakuja kupoza machungu ya jukwaa lao. cha kushangaza hata wakija huku wanajaribu kutuhadaa ili tulipukeHata huku wanakuja kuja. Mara utasikia dikteta uchwara, mara tundu lissu hazina ya taifa la waropokaji, mara hivi. Kule nadhani panawaka moto zaidi inabidi waje na huku kupoozea poozea...TOA LIKES POKEA LIKES and nobody cares about your dikteta uchwaraaaaa...
Tunakupenda pia...