Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alafu siyo kila unachopanga lazima kufanikiwa, hata kufeli ni matokeo pia.

Tuwe tiyari kwa hali zote
True,
Hata maadui zako pia wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yako,sometimes hua tunajitahidi kuyafikia mafanikio ili tu kuwaonyesha maadui zetu,so nao wana mchango pia kwenye mafanikio yako.
 
True,
Hata maadui zako pia wana mchango mkubwa sana katika mafanikio yako,sometimes hua tunajitahidi kuyafikia mafanikio ili tu kuwaonyesha maadui zetu,so nao wana mchango pia kwenye mafanikio yako.
Pretty sure, kuna mambo nisingeweza kuyatimiza katika maisha yangu bila uwepo wa HATERS, nawaheshimu sana kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…