Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mbali na umri busara nazo ni muhimu...hakuna kitu kizuri kama kujua unaongea nini,wapi na unaongea na nani
Hilo la bold niliona sehemu humu wanazungumza...hayo mengine naona yamejaa balaa tuYapo.
Hata mimi kuna binti aliwahi kuniomba nijiunge na group lake la Whatsapp nikakataa.
The Bold pia si ana group lake ambako huwa anaweka simulizi zake?
In short I don't Give a damnUwe unatembelea majukwaa mengine lol[emoji23][emoji23]
Hivi mnaweza kuzoeana humu hadi kufikia kulana matunda?Usalama unatoka wapi?
Sioni daliliMan u wafungwe tu kipindi cha pili[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ana kampani kila siku nadhani. Ila yeye ana uwezo wa kusepa spiritually hata kama wanaoongea naye wanadhani yupo kumbe yupo hapa anatandika likes au keshaenda zake Egypt kuhiji....Hahahaha
Tulia hadi saa naneUsingizi umepaa......
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Man u wafungwe tu kipindi cha pili[emoji125] [emoji125] [emoji125]
HahahahaPicha za ISIS ni kupambana nazo tu.
Kwa makemeo na kila aina ya silaha....
Usiogope!
Hivi mnaweza kuzoeana humu hadi kufikia kulana matunda?
Hii dunia ya sasa waaminifu wamebaki wachache mnoo...ni vizuri kujua unaemsaidia au kuwasiliana nae nje ya mitandao si kila mtu ni mtu mzuri au anahitaji msaada wengine ni wanafki na wambeaMambo ya mtandaoni haya ni hatari sana.
Mimi nilipatwa na mkasa wa kushangaza mwaka 2009 na kuanzia wakati huo sitakaa nionane na mtu ambaye eti nimekutana naye mtandaoni. Tutataniana humu tu na kila kitu kitabaki humu humu. Hata kama mtu anataka msaada wangu kama nitaamua kumsaidia siyo lazima tuonane. Simwamini tu aisee....
Saa nane mbali.....lbd nijaribuTulia hadi saa nane
Ahsante mkuu,umeniongezea jambo muhimu sana.Mimi nilijua ni familia moja hapa,kumbe unaweza ukaangushwa kwa dakika moja japo umehangaika kusimama kwa zaidi ya miaka kumiMambo ya mtandaoni haya ni hatari sana.
Mimi nilipatwa na mkasa wa kushangaza mwaka 2009 na kuanzia wakati huo sitakaa nionane na mtu ambaye eti nimekutana naye mtandaoni. Tutataniana humu tu na kila kitu kitabaki humu humu. Hata kama mtu anataka msaada wangu kama nitaamua kumsaidia siyo lazima tuonane. Simwamini tu aisee....
We Mzee ww hayaUnajua kwa jinsi alivyo elezea hadi unapata picha kuwa yawezekana ni fulani!!!?
OhooooUnajua kwa jinsi alivyo elezea hadi unapata picha kuwa yawezekana ni fulani!!!?
That's my girl [emoji173] [emoji173] [emoji179] [emoji178] [emoji178] [emoji173] [emoji179] [emoji179] [emoji173] [emoji173] [emoji178] [emoji178] [emoji106] [emoji106] [emoji173]Mbali na umri busara nazo ni muhimu...hakuna kitu kizuri kama kujua unaongea nini,wapi na unaongea na nani
Ni vizuri piaYaan hata before wewe and before
This nyuzi nying nilizokuwa nasoma zote labda makala za wakina bold, ontario Historia, sijui uzi Nani kafanya hivi kwa mwenzie hata sifunguagi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata asubuhi nilikuona babe s...Usingizi umepaa......
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mambo ya mtandaoni haya ni hatari sana.