Hahaha...kwa leo nitamsamehe......Maisha ni kuvumiliana kwenye dhida na raha sasa iweje yeye alale na wewe ukeshe??[emoji23][emoji23]muamshe tu...we huoni me ma cole tupo sambamba hapa[emoji23][emoji23]
Asante..Karibu sana
Hivi ndo ulitakiwa kuandikaNi lazima kutofautisha maisha ya ya mtandaoni na maisha halisi - hasa kama una malengo. Na maisha haya yakiingiliana basi yaingiliane kwa uangalifu na katika ukweli. Mtandaoni huku pia kuna waliopata wenzi bora kabisa pamoja na fursa nzuri za kibiashara zilizowatoa kimaisha. Yote kwa yote ni kuwa mwangalifu na kutoamini watu mapema bila tahadhari - hasa wakati huu ambapo upendo miongoni mwa watu umepoa sana!
Hahahahah..bado bado...Ta Ta Ta Tayari... [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Yaani kwa mfano next week nakuja huko,naamua kukubea mazagazaga,nitakupataje ili nikukabidhi?Kwenye kutoa namba hapo dooh!zamani ilikua sitoi namba hovyo hovyo japo hadi sasa ila nature ya kazi unakuta namba zinabandikwa sehemu incase of emergency utafutwe jambo lililonilazimu kutafuta namba nyingine kwaajili ya shughuli zangu binafsi...sitoi namba hadi nijue umuhimu wake[emoji23][emoji23]sasa humu hatujuani naanza tu kutoa namba daah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cole akinishinda nahamia kwako mbona rahisi tu[emoji23][emoji23][emoji23]nikishindwa kwako naja na uzi hapa na screenshots kama evidence[emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu rudiiiiTayari tili tili tili tili tili tili tili [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ngoja niende zangu kumtafuta mjomba
Mbona easy Tu.Kuwajua sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahsante mkuu.Ni lazima kutofautisha maisha ya ya mtandaoni na maisha halisi - hasa kama una malengo. Na maisha haya yakiingiliana basi yaingiliane kwa uangalifu na katika ukweli. Mtandaoni huku pia kuna waliopata wenzi bora kabisa pamoja na fursa nzuri za kibiashara zilizowatoa kimaisha. Yote kwa yote ni kuwa mwangalifu na kutoamini watu mapema bila tahadhari - hasa wakati huu ambapo upendo miongoni mwa watu umepoa sana!
Basi hatushindwani. Si ndioKuna mtu anapenda stress basi?maisha yenyewe mafupi haya
Kwa mabinti nadhani ni rahisi....Lakini bro mi najua
Unaweza ukatambua kama
Huyu mtu dishi lake haliko vizuri
Na ukaepuka madhara
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Ila nikikaribishwa Masaki ufukweni hata kesho asubuhi nakuja aisee...
Tena tuje tuongee kuhusu ile ishu...
Ulisema wikiendi iliyopita lakini naona pilika pilika...
Kesho kazini utachoka sana. Poor you....Yani majogoo yanawika na usingizi umegoma daah[emoji47][emoji47]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Yaani kwa mfano next week nakuja huko,naamua kukubea mazagazaga,nitakupataje ili nikukabidhi?