myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kuna watu kama hawakuoni hapa nao wanaondoka, jitahidi uwe hapa siku zoteHua napitia mbona kutoa hi sema sikai sana..... aiseee ngoja nirudi sasa.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Ndiyo kazi zekuwa nginhi
AFYA KWA WOTE TANZANIAGOOD MORNING TANZANIA
Hata wewe Shemeji
Mwamshe Mpare mpige stori. Muulize source ya Wapare kuwa wabahili namna hiyo ilitokana na nini....
[emoji15] nipoo labda tunapishana viwanja tu
Leo umelazwa sebuleni niniTa Ta Ta Tayari... [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
IndeedAFYA KWA WOTE TANZANIA
Carba una kuwa kama formula huijuii Mama. Ukisha fanya zoezi lazima alale wewe unaugulia utamuMaisha ni kuvumiliana kwenye dhida na raha sasa iweje yeye alale na wewe ukeshe??[emoji23][emoji23]muamshe tu...we huoni me ma cole tupo sambamba hapa[emoji23][emoji23]