myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee nilipia Na Mimi nikasoma hiyo issue hovyo sanaSijui kama hauja futwa,yeye wamelalana mara moja tu.Anacho lalamika anasema bidada hana mvuto na mengine meengi kwa umri wangu sistahili kuyaongelea
DuhAisee nilipia Na Mimi nikasoma hiyo issue hovyo sana
Kweli my princess mahusiano yasizidi mipakaKama ni uhusiano wa kibiashara uishie kwenye biashara
Good choiceUzi gani huo?
Niliona pia mahali kule telegram mtu akimsema mdada wa humu tena mashuhuri sana...
Anasema eti kamkimbia kwa sababu binti anataka mambo isivyo.
Nikaona utoto nikakimbia na hiyo channel moja kwa moja!
Hahahahaha mahusiano ya kibaoligiaIla kama uhusiano wenu unahusu mambo ya kibaolojia sasa hapo inabidi muwe na vifua