Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Aisee! Pambaneni atarudi tu ila hii vita ya likes aliyomo kwa sasa haijawahi kumuacha mtu salama. Ni uraibu utadhani Cocaine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inawezekana ila Jamaa ni Kama mourinho ana mchango mkubwa Sana. Sijawahi kuacha kusoma comment yake hata Moja.
sent from my Samsung S9 plus using jamiiforums mobile application.
Hii vita kila nikichungulia mapambano ndo kwaaaaanza kama yameanza.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee! Pambaneni atarudi tu ila hii vita ya likes aliyomo kwa sasa haijawahi kumuacha mtu salama. Ni uraibu utadhani Cocaine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hakuna cha ban wala nini. Ni likes mkuu. Hata wewe jaribu kukaa hapa kwa muda mrefu tuone kama utaukumbuka huo uzi wa Manchester United !