Ndio mkuuAndjul
😵 mzima weweNdio mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji3]Mbona speed Leo ndogo wewe mgeni kwenye Uzi huu
Nipo vizuri, sijui wewe mkuu😵 mzima wewe
[emoji1] [emoji2] [emoji2]Kupanga malengo mengi bila kuyafanyia kazi ni sawa na kuchomeka chaja ya simu kwenye plagi bila kuwasha,hakuna kitakachotokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo, hivi umeshalala au unakimbiza kwa mbeleNaona mpo kama kawaida
[emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3]Vita ya likes haijawahi kumuacha mtu salama. Yaani jamaa wanabembeleza kweli kweli Rutta kimyaaaa anakula likes tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhaa asante sanaWasukuma kwa kweli kazi tunayo. Karibu tena bageshi. Naona kile kiadhabu kimeisha. Safi sana!
Numbisa
Thank u muchMtoto wa kikoromije,pole sana mama.Hongera kwa kumaliza kifungo salama
Miss u too. Thank u much