Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hiyo kwa kuwa hakuna mtu alikohoa wakati wake basi na huyu uchwara ndiyo hataki mtu akohoe!?

Tatizo lako wewe unasahau kama si Mwalimu bado tungekuwa kwenye mfumo wa chama kimoja, pia Mwalimu hakupandikiza chuki za kutisha miongoni mwa Watanzania kama huyu uchwara na bila yeye tusingekuwa na lugha moja ya Taifa na huu mshikamano mkubwa ambao huyu dikteta uchwara anaubomoa kwa kasi ya kutisha.

Ni kweli aliyewahi kuugua ugonjwa wa akili hastahili kuongoza nchi.

Siasa uchwara tu hapa Bongo si watawala si wapinzani wote majiganyanza!

Hiyo quotation ya Nyerere uchuro mtupu. Kuna mtu alikohoa wakati wake?
 
Kwa hiyo kwa kuwa hakuna mtu alikohoa wakati wake basi na huyu uchwara ndiyo hataki mtu akohoe!?

Tatizo lako wewe unasahau kama si Mwalimu bado tungekuwa kwenye mfumo wa chama kimoja, pia Mwalimu hakupandikiza chuki za kutisha miongoni mwa Watanzania kama huyu uchwara na bila yeye tusingekuwa na lugha moja ya Taifa na huu mshikamano mkubwa ambao huyu dikteta uchwara anaubomoa kwa kasi ya kutisha.

Ni kweli aliyewahi kuugua ugonjwa wa akili hastahili kuongoza nchi.
Kula likes
 
IMG_2874.JPG
 
Back
Top Bottom