Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_2903.JPG
 
Kwa hiyo kwa kuwa hakuna mtu alikohoa wakati wake basi na huyu uchwara ndiyo hataki mtu akohoe!?

Tatizo lako wewe unasahau kama si Mwalimu bado tungekuwa kwenye mfumo wa chama kimoja, pia Mwalimu hakupandikiza chuki za kutisha miongoni mwa Watanzania kama huyu uchwara na bila yeye tusingekuwa na lugha moja ya Taifa na huu mshikamano mkubwa ambao huyu dikteta uchwara anaubomoa kwa kasi ya kutisha.

Ni kweli aliyewahi kuugua ugonjwa wa akili hastahili kuongoza nchi.
Nilikuwa nakuchokonoa tu mkuu. Hata huna haja ya kutumia nguvu nyingi hapa na kutoa mishipa ya shingo! Wasiokufahamu labda watakufuata huko jukwaa la siasa ukawape shule kuhusu dikteta uchwara wako, mgonjwa wako wa akili, mtakatifu wako Eddo na mengineyo. Binafsi nilishaachana na siasa hizi za Bongo. Hongera kwa uanaharakati wako uliotukuka mkuu; ambao unajaribu kuuleta hata huku kila inapowezekana. 2020 siyo mbali mkijipanga vizuri mnaweza kuchukua nchi mlete ukombozi kwa Watanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Basi turudi kwenye TOA LIKES POKEA LIKES...
 
Back
Top Bottom