Nilikuwa nakuchokonoa tu mkuu. Hata huna haja ya kutumia nguvu nyingi hapa na kutoa mishipa ya shingo! Wasiokufahamu labda watakufuata huko jukwaa la siasa ukawape shule kuhusu dikteta uchwara wako, mgonjwa wako wa akili, mtakatifu wako Eddo na mengineyo. Binafsi nilishaachana na siasa hizi za Bongo. Hongera kwa uanaharakati wako uliotukuka mkuu; ambao unajaribu kuuleta hata huku kila inapowezekana. 2020 siyo mbali mkijipanga vizuri mnaweza kuchukua nchi mlete ukombozi kwa Watanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi turudi kwenye TOA LIKES POKEA LIKES...