HahahahaNilikuwa nakuchokonoa tu mkuu. Hata huna haja ya kutumia nguvu nyingi hapa na kutoa mishipa ya shingo! Wasiokufahamu labda watakufuata huko jukwaa la siasa ukawape shule kuhusu dikteta uchwara wako, mgonjwa wa akili, mtakatifu Eddo na mengineyo. Binafsi nilishaachana na siasa hizi uchwara za Bongo. Hongera kwa uanaharakati wako uliotukuka mkuu. !
Kitu chochote kizuri na chenye heshima hupita kwenye moto baadae maji!Ufunguo wa kufungulia nini huu? Na kwa nini hizo herufi zote zina moto?
Aisee...Dhahabu! Almasi! Fedha! Chuma!...Kitu chochote kizuri na chenye heshima hupita kwenye moto baadae maji!
Nilikuwa nakuchokonoa tu mkuu. Hata huna haja ya kutumia nguvu nyingi hapa na kutoa mishipa ya shingo! Wasiokufahamu labda watakufuata huko jukwaa la siasa ukawape shule kuhusu dikteta uchwara wako, mgonjwa wako wa akili, mtakatifu wako Eddo na mengineyo. Binafsi nilishaachana na siasa hizi za Bongo. Hongera kwa uanaharakati wako uliotukuka mkuu; ambao unajaribu kuuleta hata huku kila inapowezekana. 2020 siyo mbali mkijipanga vizuri mnaweza kuchukua nchi mlete ukombozi kwa Watanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi turudi kwenye TOA LIKES POKEA LIKES...
Thanks BAKThanks Madame
Kazi kweli kweliDah! Sasa uandike wewe sawa! nikiandika mimi kosa! duh! umeshaachana na siasa za bongo lakini bado unaziandika badala ya kukaa kimya!
Hebu tu create biashara jamani!Aisee...Dhahabu! Almasi! Fedha! Chuma!...
Nimekuelewa !
nimekupenda bureNilikuwa nakuchokonoa tu mkuu. Hata huna haja ya kutumia nguvu nyingi hapa na kutoa mishipa ya shingo! Wasiokufahamu labda watakufuata huko jukwaa la siasa ukawape shule kuhusu dikteta uchwara wako, mgonjwa wako wa akili, mtakatifu wako Eddo na mengineyo. Binafsi nilishaachana na siasa hizi za Bongo. Hongera kwa uanaharakati wako uliotukuka mkuu; ambao unajaribu kuuleta hata huku kila inapowezekana. 2020 siyo mbali mkijipanga vizuri mnaweza kuchukua nchi mlete ukombozi kwa Watanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi turudi kwenye TOA LIKES POKEA LIKES...
Pata likes my dearnimekupenda bure
kula like
HahahahaMida hii hata walinzi wamelala,
AMUN RAMkuu SHIMBA YA BUYENZE nimekutilia likes Mkuu sina usongo nawe. Tanzania ni yetu sote Mkuu.