Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Morning my princess I'm to see you
Morning too
Enjoy ur day
images(11).jpg
 
Shukrani sana Mkuu [emoji1431][emoji1431][emoji1431]To err is human Mkuu. Nawe ubarikiwe sana Mkuu.

BAK mimi naomba nikushukuru kwa uungwana wako. Ni ngumu sana kwa mwanadamu kuomba msamaha au kukubali kitu ambacho alikikata.
Huu uzi umetupa nafasi nyingine na sababu ya kuwepo JF. Tumegundua kuna maisha ndani ya JF. Watu wana furahi wanacheka tumekuwa na marafiki ambao hatujawahi kuonana. Wewe mwenyewe ukipotea lazi uuliziwe umekwenda wapi.
Bro ubarikiwe sana Mungu azidi kukupa amani kuwepo humu.
 
Back
Top Bottom