mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
BAK mimi naomba nikushukuru kwa uungwana wako. Ni ngumu sana kwa mwanadamu kuomba msamaha au kukubali kitu ambacho alikikata.
Huu uzi umetupa nafasi nyingine na sababu ya kuwepo JF. Tumegundua kuna maisha ndani ya JF. Watu wana furahi wanacheka tumekuwa na marafiki ambao hatujawahi kuonana. Wewe mwenyewe ukipotea lazi uuliziwe umekwenda wapi.
Bro ubarikiwe sana Mungu azidi kukupa amani kuwepo humu.
Safi sanaMkuu SHIMBA YA BUYENZE nimekutilia likes Mkuu sina usongo nawe. Tanzania ni yetu sote Mkuu.
Aaaaah mlisema ukiandika chochote unapata like mkuu, toa like kiroho safi.Ngoja tuache kukupa like maana ni wivu tu umekujaa