Morning brotherMorning Andjul
PointSio lazima kila mtu ashiriki kwenye maeneo ya makwazo ndio aonekane mpambanaji.Wengine tumezaliwa kwenye neema,tunakula kwa mujibu wa ratiba ya mama itakavyo.Komaa kuandika point,nasi tuna komaa na kitonga,muda wa kula LIKE ukifika wote tutakutana mezani.Pole sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
UbarikiweSio lazima kila mtu ashiriki kwenye maeneo ya makwazo ndio aonekane mpambanaji.Wengine tumezaliwa kwenye neema,tunakula kwa mujibu wa ratiba ya mama itakavyo.Komaa kuandika point,nasi tuna komaa na kitonga,muda wa kula LIKE ukifika wote tutakutana mezani.Pole sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halijachwa, limekucha. "Kucha" si "kuchwa" habari yako GeJo, pokea likes uwahi kaziniJua limekuchwa
Kwema viphYap chief niajee
No matter how evil money is,but being broke is not holly.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] mtoto wa shule kuna muda akili zikikukaa sawa una maneno ya hekima sana.Nakuombea ufaulu vizuri mtihani wako wa mwezi November ili mwakani ujiunge kidato cha tano. Ubarikiwe sana[emoji120] [emoji120]BAK mimi naomba nikushukuru kwa uungwana wako. Ni ngumu sana kwa mwanadamu kuomba msamaha au kukubali kitu ambacho alikikata.
Huu uzi umetupa nafasi nyingine na sababu ya kuwepo JF. Tumegundua kuna maisha ndani ya JF. Watu wana furahi wanacheka tumekuwa na marafiki ambao hatujawahi kuonana. Wewe mwenyewe ukipotea lazi uuliziwe umekwenda wapi.
Bro ubarikiwe sana Mungu azidi kukupa amani kuwepo humu.
Numbisa, naomba usinione mimi ni mkorofi kwa uniq. Dogo naona unanitafuta sana...Leo nimeomba ruhusa ya kuumwa (ila siumwi kiukweli) ili nipambane na wewe...inawezekana una uhuru wa kunipanda kichwani,bati noti tu zati eksitenti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahaa Andjuli bwana