Mkuu ukaamua kijifungia na Gejo wakoNimerudi tena ndugu zangu
Kupendwa acha kabisa pongezi kwa GeJo kipenziMkuu ukaamua kijifungia na Gejo wako
Hahaha pole sana kwa kuumwa. Pokea dawa. Kichwa kikae sawaNumbisa, naomba usinione mimi ni mkorofi kwa uniq. Dogo naona unanitafuta sana...Leo nimeomba ruhusa ya kuumwa (ila siumwi kiukweli) ili nipambane na wewe...inawezekana una uhuru wa kunipanda kichwani,bati noti tu zati eksitenti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakija wote hao lazima kazi zidorore maofisiniReturn of kichwa kichafu Return of numbisa Return of ho chi minh. Team hii ikikamilika pamoja nanyi ambao aijawataja hapa patafuka moshi wa likes
Sent using Jamii Forums mobile app
GeJo bibieHabari ya kazi
Andjul kuna picha yenu wewe, KK na Ho chi minh. Enzi hizo ukiwa na SWETA lakoSema kiongozi, habari ya majukumu
Mkuu kwema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siku nyingi hatuja kutanaDogo leo umeamka vizuri sana. Hongera kula like
Hahaha wewe mwalimu nini? Nimekupata mwalimuHalijachwa, limekucha. "Kucha" si "kuchwa" habari yako GeJo, pokea likes uwahi kazini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari ya kupoteza ajira ni kubwa kwa walioajiriwaWakija wote hao lazima kazi zidorore maofisini
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Hahahaaaaaa sio wewe mkuuHahahhahahhahahah. Andjul duuu umeua leo