Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
HipiLoh! Hii kamba haikatiki?
[emoji23][emoji23][emoji23]mshageukana eeh
Ohooooo... Usahaulifu huu mwisho ni hasara[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] habari yako mama
Nyinyi mkuu Ruta anakumwagieni nondo mnashindwa kumpa likes, mwacheni ajiburudishe hapaMkuu siku hizi umekimbia jukwaa lako [emoji3] [emoji3] [emoji3] ..shida ni nin? Morata au lukaku?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndio tumeanza hata 1/50000000000000000 ya huu uzi bado hatujafika.Loh! Hii kamba haikatiki?
Asante sana[emoji23][emoji23]Pole mama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini sio ugonjwa wa kutiiiiishaa
HahahhahahWe mzee leo unamadongo khaa![emoji124] [emoji124] [emoji124]
Unamtafuta Carba[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji120] nisamehe nilijua ni uniq[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
VizuriGeJo yupo mokono salama
Ni mimi nimemvuruga alikuja kwa checkup ya tezi dume. Haliyake sio mbaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]aliekuvuruga leo akuvuruge na kesho tena walah
Karibu kwenye malikeReturn of Ijimma
[emoji124] [emoji124] [emoji124] naona umeamua kucheza mdundo wa kijana wako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahah carba mijibaba hii ina yao tu....hata haiminiki...lbd uniq [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahahah lime kufikaaaa nyambafuuKuwa??? Acha kujiumiza kifua kwa kuhangaika na wakusoma