moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Acha ajaribu kuja kuonja asali ili achonge mzingaDoooh uniq kuja huku,mali zako zaliwa shekhee
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ajaribu kuja kuonja asali ili achonge mzingaDoooh uniq kuja huku,mali zako zaliwa shekhee
Hatuwezi ongelea siasa humu,mtaani kugumu acha tujifariji na makopa kopa
Mzee mbona unakaba penalt daaahAfadhali mmeligundua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyuki Wa mashineniAaaha simba
Wa maonyesho dar es Salaam zoo
Nakuona
Hapo pa "usivamie mali za watu"nimepapendaPost Chochote
Post uwezavyo
Lakini Utoe likes
Usipost Matusi
Picha Chafu
Usivamie Mali za watu
CoLe World
Unaogopa hahahahaha
Wa mashin.....Au.......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji113] [emoji113] [emoji113] full vichekoTulia wewe,watu wazima tuna farijiana.Ukitaka kupiga kelele nenda darasani kacheze na wenzio
[emoji23][emoji23][emoji23]Maonyesho my love
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]KK kaaa mbali na kisses zangu
Wewe ni shidaaHuku kibiti nimekwisha suluhisha ndoa zaidi ya 200k
Ndoa si ndoano tena huku[emoji23] [emoji23]