Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kichwa kichafu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi naaminika, ukinipata mimi utajiona kama umezaliwa upya kabisa, utapata furaha za ndani na nje pia. Utayasahau yote yaliyokusibu. Utajiona malaika uliye duniani. utakula unachotaka na si ulichopata. Utaishi pale unapopenda hapa duniani. Nipo tayari hata kukupeleka kwenye sayari ya mars ukaone mambo mapya. nadhani ungependa kuitembelea dunia, hayo pia yapo chini ya uwezo wangu. Uamuzi ni wako. Achana na wanafunzi wa mapenzi wataishia kuuchoma moyo wako. Karibu mrembo

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh kweli shuka aliwekewi mfuko.
babe S kazi kwako
 
Back
Top Bottom