Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi naaminika, ukinipata mimi utajiona kama umezaliwa upya kabisa, utapata furaha za ndani na nje pia. Utayasahau yote yaliyokusibu. Utajiona malaika uliye duniani. utakula unachotaka na si ulichopata. Utaishi pale unapopenda hapa duniani. Nipo tayari hata kukupeleka kwenye sayari ya mars ukaone mambo mapya. nadhani ungependa kuitembelea dunia, hayo pia yapo chini ya uwezo wangu. Uamuzi ni wako. Achana na wanafunzi wa mapenzi wataishia kuuchoma moyo wako. Karibu mrembo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mistari
 
1ee5a958a2ff33e1af15fc5be0c42f89.jpg
 
Duhh!! Usalama wa wake zetu ni mdogo sana.Hawa wavulana wanaaminika saaana na wanawake kwa sababu ya uongo uongo huo...
 
Back
Top Bottom