Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Nilishapoa siku nyingi mkuuPole sana
Utapata wa kufanana na wewe kama bado hujapata na utasahauNilishapoa siku nyingi mkuu
Sema donda la mapenzi,kovu lake haliondoki haraka
Hakika nimemwona, avatar ilinichanganya, mwanaume akupendaye hivi yaani mpe, mupe na umpe tenaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji41][emoji4][emoji4]watakuwepo na wengine shemeji...umemuona Cole lakini?
SHIMBA YA BUYENZE yuko wapi wii?Nionapo Amani kama Shwari,
Ama nionapo shida,
Kwa mambo yote umenijulisha,
Ni salama Rohoni mwangu....[emoji444][emoji444][emoji445][emoji445]
Lakini inaonyesha ndoa nyingi watu wanakua wanatimiza wajibu tu baada ya kuwapoteza wenza wao wawapendao kutokana na sababu za kimaishaKuolewa na umpendaye ni raha sana,maisha si pesa bhana...asante kwa ujumbe[emoji4][emoji4]
Nimejipa break kwanzaUtapata wa kufanana na wewe kama bado hujapata na utasahau
[emoji23][emoji23][emoji23]nimekuelewa shemejiHakika nimemwona, avatar ilinichanganya, mwanaume akupendaye hivi yaani mpe, mupe na umpe tenaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji41]