Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini inaonyesha ndoa nyingi watu wanakua wanatimiza wajibu tu baada ya kuwapoteza wenza wao wawapendao kutokana na sababu za kimaisha
Hakuna apendae maisha ya dhiki na wengi wetu sisi wanawake tunapenda vitonga,kutamani maisha ya starehe na vitu vingine mwisho wa siku ndo hivyo unamuacha mliependana unaenda kufata pesa at the end unaanza kujuta...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…