Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SHIMBA keshapokea mahari yangu, lakini akashawishi na rushwa ya yule mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, mimi siyo mpigaji kama libunge letu liJoka Makengeza. Siwezi kuchukua mahari kutoka kwa mashemeji wawili. Huo utakuwa utapeli/ufisadi. Mimi nilipokea mahari kutoka kwa Andjul pekee. Hao ng'ombe wako mwenyewe unajua ulikowapeleka. Si ajabu umewauza hela umeficha sasa unamsingizia Shimba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani lile jitu silipendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…